Kwaya Yerusalemu

Hii ni Kwaya Yerusalemu ambayo imeamua kumtumikia Mungu kwa njia ya Nyimbo za Injili ili kusaidia watu wamjue Mwenyezi Mungu na kuitangaza habari njema ya Bwana Yesu Kristo.
 
Kiongozi wa Kwaya: Nzozirubusa Sylvie (520-272-1879)
Kiongozi Msaidizi wa Kwaya: Safari Ernest (520-461-58830
Muimbishaji wa Kwanza: Mashishi Rosette (520339-5805)
Muimbishaji Msaidizi: Vyizigiro Albert (520-409-7857)
 

No comments:

Post a Comment